![](https://archive.gijn.org/wp-content/uploads/2020/03/gijnafricaheader-768x187.png)
Vidokezi vya Kuchunguzia Kirusi Cha Korona Afrika
Wanahabari wapekuzi wa Afrika wanafanya kazi muhimu ya kutoa maelezo na ufafanuzi wa pandemia ya kirusi cha korona inayokua barani, na kuziwajibisha serikali. Makala za upekuzi zimezindua baadhi ya serikali zilizokuwa zimezubaa katika utayari wake kwa ajili ya kirusi cha korona. Kadhalika, makala za upekuzi za hivi karibuni zimezindua utumizi mbaya wa fedha kupitia tiba […]
Miongozo ya Uanahabari wa Upekuzi
Uanahabari wa Upekuzi Uanahabari wa Data Kufunza na Ukufunzi Miongozi Mingine Muhimu Kihispania Pekee Je, unatafuta vidokezi, vifaa na mafunzo? Miongozo ifuatayo inaangazia uanahabari wa upekuzi na inatoa vielelezo na mifano kutoka duniani kote. Mingi ya miongozo haina malipo. Unaweza pia kupata miongozo hiyo kwa lugha za Kichina na Kihispania. Je, una nyongeza ungependa kuishirikisha wengine? Tutumie […]
Vifaa Vya Kutafitia Mtandaoni
Kwa muda mrefu, vifaa vya kutafitia mtandaoni na mbinu za upekuzi zilizotayarishwa na mpekuzi mbobezi wa mtandaoni wa shirika la BBC Paul Myers zimekuwa chanzo cha kutafiti mtandaoni kwa wasomaji wa GIJN. Tovuti yake, Kliniki ya Utafiti, ina ukwasi wa linki za kutafitia na “nyenzo za kujifunzia.” Hivi hapa vidokezi kuhusu jinsi ya kuwatafuta watu […]
Kutumia Utafiti wa Rununu Kuchunguzia Mgogoro wa Sudan Kusini
Ndani ya kipindi cha wiki chache, milionea wa Sudan Kusini Joseph Lugala Wani alipoteza karibu kila kitu alichokuwa nacho. Hoteli moja na maduka 10 yaliharibiwa. Yaliporwa na kuchomwa. Miezi kadha baadaye, Wani aliyegeuzwa mkimbizi wa mjini alitueleza tulipomkuta kwenye nyumba ndogo yake ya kupanga nchini Uganda, kuwa wanajeshi wa serikali ndio waliomfanyia hayo. Waliweka magurudumu […]
Kuripoti Kuhusu Kirusi cha Korona Barani Afrika: Orodha Jumuishi ya Maudhui ya Makala
Screenshot: Johns Hopkins University & Medicine Map Ni njia gani bora kabisa ya kufanya makala kuhusu kirusi cha korona? Chagua hoja au maudhui fulani. Haijalishi kwa kawaida huwa unaripoti kuhusu nini kwa sababu pandemia hii inajipenyeza katika karibu kila taarifa. Kutokana na hilo, taasisi ya African Centre for Media Excellence (ACME) yenye makao yake jijini Kampala, […]